MAJUKUMU YA SEKSHENI YA ITHIBATI YA SHULE
- Kuhakikisha vyuo/shule zote zinazosajiliwa zinakidhi vigezo ili kuinua ubora wa elimu nchini.
- Kutoa elimu ya usajili wa shule kwa wadau.
- Utoaji wa leseni za kufundishia.
- Utoaji wa vyeti vya usajili wa shule.
- Kuandaa na kuboresha miongozo ya usajili wa shule
- Kuandaa taarifa za utekelezaji za mwezi,robo, nusu na mwaka za seksheni kwa kamishna wa elimu
- Kufuta usajili wa shule zinazokiuka sheria, taratibu, kanuni na miongozo ya usajili wa shule