MAJUKUMU YA KITENGO ELIMU MAALUM
1 . Kusimamia utayarishaji wa Sera, Kanuni, Miongozo kuhusu mahitaji maalum ya kielimu nchini.
- Kusimamia kituo cha kitaifa cha huduma za kielimu kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum
- Kusimamia uandaaji mpango endelevu wa utafutaji wa rasimali kwa ajili ya kugharamia elimu kwa wenye mahitaji maalumu kuanzia ngazi ya Awali hadi Vyuo Vikuu.
- Kusimamia maandalizi ya miongozo kuhusu kuendeleza vipaji na vipawa vya wanafunzi kunzia Elimu ya Awali mpaka Vyuo Vikuu
- Kusimamia utayarishaji na uchambuaji wa data zinazohusu wanafunzi wenye mahitaji maalumu kuanzia Awali hadi Vyuo Vikuu katika mfumo wa data na sekta ya elimu na katika mtandao wazi wa Serikali na wabia na wadau mbalimbali
- Kusimamia uendelezaji wa mikakati ya ushrikiano baina ya Serikali/Taasisi zinazotoa huduma kwa watu wenye ulemavu na za wenye ulemavu wenyewe.
7, Kusimamia uendeshaji wa tafiti za elimu kuhusu elimu maalumu na kuzishauri wamiliki kuhusu uendeshaji bora wa taasisi husika.
- Kusimamia maandalizi ya viwango na mitaala inayohusu wanafunzi wenye mahitaji maalumu ya elimu
- Kusimamia uanzishaji, uendelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya utekelezaji wa miradi na programu kuhusu elimu maalumu.
- Kusimamia uandaaji na uwasilishaji taarifa za utekelezaji wa kazi kama itakavyotakiwa.
KITENGO CHA ELIMU MAALUM
MGAWANYO WA MAJUKUMU YA KAZI
Na | Mteja | Jukumu | Huduma inayotolewa | Muda |
1. | 1.wanafunzi kuanzia awali hadi chuo kikuu 2. Walimu 3. Wakufunzi na 4. Wahadhiri na 5.Watumishi wasiokuwa Walimu 6. Jamii 7. Wadau wa Elimu 8. Wazazi | Kusimamia utayarishaji wa Sera, Kanuni, Miongozo kuhusu mahitaji maalum ya kielimu nchini. | Uhamasishaji, na Uelimisha, Ufuatiliaji na tathimini ya utekelezaji wake.
xii. Kamusi ya Kidijiti ya Lugha ya Alama Tanzania 2020. xii. Rasimu ya mwongozo wa ufundishaji wa elimu jumuishi kwa walimu kazini nchini
|
|
|
| Kusimamia kituo cha kitaifa cha huduma za kielimu kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum
|
| Siku moja(1) |
|
| Kusimamia uandaaji mpango endelevu wa utafutaji wa rasimali kwa ajili ya kugharamia elimu kwa wenye mahitaji maalumu kuanzia ngazi ya Awali hadi Vyuo Vikuu.
|
| Mwezi mmoja |
|
| Kusimamia uandaaji wa mwongozo wa ubainishanjia wa vipaji na vipawa vya waanafunzi
| Kuhamasisha ushiriki wa wanafunzi wenye vipaji na vipawa wakiwemo wenye mahitaji Maalum katika mashindano ya sayansina Ubunifu. | Miezi miwili |
|
| Kusimamia utayarishaji na uchambuaji wa data zinazohusu wanafunzi wenye mahitaji maalumu kuanzia Awali hadi Vyuo Vikuu katika mfumo wa data na sekta ya elimu na katika mtandao wazi wa Serikali na wabia na wadau mbalimbali
| kuwapatia afua stahiki kulingana na Mahitaji kama vile vifaa vya kielimu na saidizi | Mwezi mmoja (1) |
|
| Kusimamia uendelezaji wa mikakati ya ushrikiano baina ya Serikali/Taasisi zinazotoa huduma kwa watu wenye ulemavu na za wenye ulemavu wenyewe.
| Uhamasishaji, na Uelimisha, Ufuatiliaji na tathimini ya utekelezaji wake wa utoaji wa huduma kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum kwa kupitia vikao vya wadau wa Elimu Maalum na Jumuishi vya Kila mwaka wa utekelezaji wa NSIE | Siku (2) |
|
| Kusimamia uendeshaji wa tafiti za elimu kuhusu elimu maalumu na kushauri wamiliki kuhusu uendeshaji bora wa taasisi husika. |
Kutoa ushauri wa uendeshaji bora wa taasisi husika kuhusu usimamizi na uendeshaji wa elimu maaluma na jumuishi kutokana na Tafiti zinazowasilishwa na wadau kwenye kitengo cha Elimu maalum kupitia mkutano wa mwa wa wadau | Miezi miwili (2) |
| Taasisi za serikali, dini na Binafsi na wadau mbalimbali wa Elimu | Kusimamia maandalizi ya viwango na mitaala inayohusu wanafunzi wenye mahitaji maalumu ya elimu
| Kuwajengea Uwezo/uelewa kuhusu Elimu Jumuishi na jinsi ya kuwahudumia waanfunzi wenye Mahitaji maalum | Mwezi mmoja (1) |
|
| Kusimamia uanzishaji, uendelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya utekelezaji wa miradi na programu kuhusu elimu maalumu.
| Kufanya ufuatiliaji na tathimini ya utekelezaji wa miradi na programu inayohusu wanafunzi wenye Mahitaji maalum. Mf; Shule bora ESRACs (mitindo na Nkuhungu) na SWASH(Nchi nzima) | Mwaka mmoja (1) |
|
| Kusimamia uandaaji na uwasilishaji taarifa za utekelezaji wa kazi kama itakavyotakiwa.
| Kutatua changamoto za waanfunzi wenye mahitaji maalumu kuazia ngazi ya Awali hadi Vyuo Vikuu zilizojitokeza kulinga na na taarifa husika mf. Upungufu ewa vifaa vya kielimu na saidizi pamojka na miundombinu. | Siku 2 |