Error message

  • Deprecated function: Optional parameter $type declared before required parameter $key is implicitly treated as a required parameter in include_once() (line 1439 of /home/masanche/public_html/p/wamir/includes/bootstrap.inc).
  • Deprecated function: Optional parameter $input declared before required parameter $form_state is implicitly treated as a required parameter in require_once() (line 8 of /home/masanche/public_html/p/wamir/sites/all/modules/multiupload_filefield_widget/multiupload_filefield_widget.module).
  • Deprecated function: Optional parameter $item declared before required parameter $complete_form is implicitly treated as a required parameter in include_once() (line 1439 of /home/masanche/public_html/p/wamir/includes/bootstrap.inc).

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando amewataka wafugaji wote wanaoishi katika vyanzo vya maji kuondoka katika maeneo hayo ili kuepuka na uharibifu unaofanywa na mifugo kwenye vyanzo vya maji.

Hatua hiyo imekuja mara baada ya Mkurugenzi wa Bodi ya maji Bonde la Wami/Ruvu mhandisi Elibariki Joseph Mmassy kutoa takwimu zinzoenesha upungufu  wa maji katika mito inayosababishwa na shughuli za kibinadamu haswa mifugo vamizi kwenye maeneo ya vyanzo vya maji.

Section: 
Normal Announcement