Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando amewataka wafugaji wote wanaoishi katika vyanzo vya maji kuondoka katika maeneo hayo ili kuepuka na uharibifu unaofanywa na mifugo kwenye vyanzo vya maji.
Hatua hiyo imekuja mara baada ya Mkurugenzi wa Bodi ya maji Bonde la Wami/Ruvu mhandisi Elibariki Joseph Mmassy kutoa takwimu zinzoenesha upungufu wa maji katika mito inayosababishwa na shughuli za kibinadamu haswa mifugo vamizi kwenye maeneo ya vyanzo vya maji.
Section:
Normal Announcement