
Mashine hiyo imetolewa kupitia mradi wa uendelezaji wa sekta ya maji awamu ya pili (Water Sector Supporting project WSSP 11) na kupitia mashine hiyo itawawezesha wanajumuiya hao kufyatua tofali za kujenga Ofisi yao pamoja na kuwa chanzo cha mapato kitakachowawezesha kupata fedha kwa ajili ya kujiendesha na usimamizi wa Rasilimali za Maji katika eneo hilo.
Status: